BBC News, Swahili - Habari
Habari Kuu
Moja kwa moja, Kesi ya Lissu - Upande wa Jamhuri wadai kauli ya mshtakiwa alidhihirisha nia ya uhaini
Wakili wa serikali Peter Katuga amesema mshatakiwa alikusudia kuchochea umma kuzuia kufanyika kwa Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2025 kwa lengo la kuitishia Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Jiji linaloendeshwa na Akili Mnemba na wasiwasi unaolizunguka
"Mawakala wa akili mnemba huwaondoa binadamu katika mchakato wa kufanya maamuzi kwa sababu namna wanavyofikiri wakati mwingine si rahisi kueleweka, na wanafanya kazi kwa kasi inayozidi uwezo wa binadamu. Kwa hiyo, huwezi hata kuwafuatilia kwa urahisi", asema mtaalamu, Margaret Mitchell.
Adhabu 3 zinazoweza kuikabili Man City baada ya kupatikana na hatia `
Klabu ya City imekanusha mara kwa mara kuhusika na makosa hayo, na BBC Sport imefahamishwa kuwa watakata rufaa iwapo watapatikana na hatia.
Edward Rukidi Kijanangoma: Kutoka uwanahabari hadi ufalme wa Tooro Uganda
Mwanahabari Kijanangoma anapanda kwenye kiti cha ufalme wa Tooro huku mzozo wa kumrithi marehemu Mfalme Oyo ukiendelea.
Moja kwa moja, Trump akanusha madai ya kuilegezea Iran vikwazo
Akizungumza kupitia mtandao wake wa Truth Social Jumatatu jioni, Trump alisema hajatoa ahadi yoyote kwa Iran na akaitaja ripoti hiyo kuwa ya uongo.
Juhudi za kusimamisha mradi wa Dangote Lamu zagonga mwamba mahakamani
Uamuzi huo unafuatia kesi iliyowasilishwa na wakazi 133 wa Chandavai wanaopinga mradi huo kwa madai kwamba unatekelezwa kwenye ardhi wanayoitambua kuwa ya mababu zao.
Miji bora zaidi duniani mwaka 2026 na siri za mafanikio yake
Ni nini kinachoufanya mji uwe wa kuvutia kiasi cha watu kutaka kuishi humo, kufanya kazi au hata kuutembelea?
Je, Ureno imeanza kuchoshwa na Ronaldo?
Cristiano Ronaldo alijikuta akiwa kwenye benchi wakati Ureno ikishinda 2-1 dhidi ya Norway katika michuano ya UEFA Nations League siku ya Jumapili, tarehe 27 Septemba 2026.
Kitendawili cha uterasi kupatikana mwilini mwa mwanamume: Ukweli Wafichuliwa
Mwanamume mmoja mwenye umri wa miaka 26 kutoka Delhi alikwenda kumuona daktari baada ya kushindwa kupata mtoto kufuatia miaka miwili ya ndoa
Ajali 6 mbaya zaidi za majini zilizotikisa dunia
Kuzama kwa Le Joola nchini Senegal mwaka 2002 kulisababisha vifo vya watu 1,800. Hata hivyo, duniani kumewahi kutokea majanga mengine ya majini yaliyosababisha vifo vya maelfu na kuacha alama kubwa katika historia.
Ndani ya mji wa Yemen ulio mstari wa mbele ambapo Wahouthi wanapigania udhibiti
BBC imeingia ndani ya Taiz, ambako mapigano kati ya Wahouthi na vikosi vya serikali yameweka raia katika hatari, huku maelfu wakikimbia makazi yao kutokana na mashambulizi.
Kwa nini China imebadili sheria yake ya ulinzi wa taifa?
China imefanya mabadiliko katika Sheria yake ya Uhamasishaji wa Ulinzi wa Taifa, hatua inayotajwa kuwa inalenga kurahisisha mabadiliko ya haraka kutoka kipindi cha amani hadi kipindi cha vita
Unataka kupunguza gharama za data?
Soma mtandao wetu wa maandishi kwa gharama ndogo za data.
Gumzo mitandaoni
Kwa nini mahasimu wa zamani Ethiopia sasa wameungana?
“Jambo hili limeathiri vibaya kisaikolojia mji wetu, na watu wetu wako katika hali ya hofu,” amesema Meya wa mji huo, Mogos Shiferaw.
Akili mnemba na nyakati za mwisho: Kwa nini baadhi ya watu wanaamini teknolojia hii ni Mpinga Kristo?
Baadhi ya Wakristo wanaamini akili mnemba inaweza kuhusishwa na matukio ya nyakati za mwisho. Huu hapa ni ufafanuzi zaidi kuhusu kwa nini teknolojia hiyo inahusishwa na Mpinga Kristo.
Mama Fatma Karume: Mwanamke aliyeipika Zanzibar jikoni na kibarazani
Mama Fatma Karume, mjane wa Rais wa kwanza wa Zanzibar, Sheikh Abeid Amani Karume, amefariki dunia Jumatatu, Septemba 21, 2026, akiwa na umri wa miaka 97.
Je, TikTok na Reels zinaharibu umakini na kumbukumbu za vijana?
Utafiti unaonyesha kuna uhusiano kati ya matumizi makubwa ya video fupi na matatizo ya umakini, kumbukumbu na kujidhibiti miongoni mwa vijana, ingawa bado hakuna ushahidi wa moja kwa moja kwamba video hizo husababisha uharibifu wa kumbukumbu.
Jinsi Mecca na maeneo mengine matakatifu yanavyolindwa
Mfumo wa Patriot ulipelekwa katika miji hiyo kwa ajili ya kulinda maeneo matakatifu kama Makka na Madina.
Kisiwa kinachojiandaa kwa vita visivyoonekana
Jammertest hafla ambayo huandaliwa kila mwaka na mamlaka za Norway. Ni tukio ambalo hufanyika hadharani, linalohusisha majaribio ya kuvuruga na kudukua mifumo ya mawasiliano, na hufanyika katika kisiwa cha mbali, takriban kilomita 300 kaskazini mwa Mstari wa Aktiki.
Je, kuna viumbe kwenye sayari nyingine?
Katika utafiti wa hivi karibuni, asilimia 86.6 ya wataalamu wa astrobiolojia walisema wanakubaliana kwamba huenda kuna uhai nje ya dunia.
Wanasiasa 7 barani Afrika wanaokabiliwa na mashtaka ya uhaini
Kesi za hivi karibuni zinazohusisha mashtaka ya uhaini au vitendo vinavyotishia usalama wa taifa, zimeibua maswali kuhusu iwapo walio madarakani wanalinda usalama wa taifa au wanatumia mfumo wa haki kudhoofisha wapinzani wao.
Vita vya Tigray: Kwa nini ni muhimu kujua vita vinavyoendelea Ethiopia
Mapigano yamezuka tena kaskazini mwa Ethiopia, tangu vita vya wenyewe kwa wenyewe katika eneo la Tigray kusitishwa kupitia Mkataba wa Pretoria.
"Sikujua mpenzi wangu alikuwa akinibaka ninapolala "
Adelle Overton alikuwa katika uhusiano na Steven Uden kwa miaka 13 kabla ya kugundua kwamba alikuwa akimbaka alipokuwa amelala.
Mambo 3 ambayo familia yako inapaswa kufanya sasa kuhusu El Nino
Afrika Mashariki Kusini mwa Afrika, ni miongoni mwa maeneo yanayotajwa kuwa katika hatari kubwa. WFP inasema zaidi ya watu milioni 18 katika ukanda huo wanaweza kukumbwa na uhaba wa chakula, ikiwa ni ongezeko la asilimia 26.
Kwa nini IPU ni fursa nyingine adhimu kwa Tanzania?
Tanzania inajiandaa kuwa mwenyeji wa mamia ya wabunge kutoka sehemu mbalimbali duniani wakati Arusha itakapofanyika Mkutano wa 153 wa Umoja wa Mabunge Duniani (IPU), kuanzia tarehe 5 hadi 9 Oktoba 2026.
BBC News Swahili sasa ipo WhatsApp
Vipindi vya Redio
Listen Next, Dira Ya Dunia, 18:29, 29 Septemba 2026, Muda 1,00,00
Kipindi cha habari, makala na mahojiano cha kila siku kuanzia saa kumi na mbili unusu jioni Afrika Mashariki
Sikiliza, Amka Na BBC, 06:59, 29 Septemba 2026, Muda 29,30
Kipindi cha habari, mahojiano na makala kila siku saa kumi na mbili na saa moja asubuhi Afrika Mashariki
Sikiliza, Amka Na BBC, 05:59, 29 Septemba 2026, Muda 29,30
Kipindi cha habari, mahojiano na makala kila siku saa kumi na mbili na saa moja asubuhi Afrika Mashariki
Sikiliza, Dira Ya Dunia, 18:29, 28 Septemba 2026, Muda 1,00,00
Kipindi cha habari, makala na mahojiano cha kila siku kuanzia saa kumi na mbili unusu jioni Afrika Mashariki
Dira ya Dunia TV
Kipindi cha habari motomoto, kinachowaweka watazamaji karibu zaidi na yanayojiri duniani























































